KAMPUNI ZA KUBETI ZA TANZANIA

 Tanzania kunayo zaidi ya makampuni 30 yakubeti na kubashiri mtandaoni zaidi ya 30. Katika Orodha hii tutakuainishia makampuni ya kubeti Tanzania 6. Tutaangalia Yale yenye Bonasi na ofa nzuri kwa wateja. Makampuni hayo ya kubeti tanzania Ni haya 

  Gal sport Tanzania

Gal sport tanzania

Hii Ni miongoni mwa makampuni ya kubeti Tanzania ambayo hutoa huduma zake kwa njia ya mtandao na katika maduka ya kubetia Tanzania. Gal sport Ina ofa ya kuweka pesa kwa Mara ya kwanza, cash back Kama timu moja itakuchania mkeka, casino za mtandaoni Kama vile mchezo wa aviator, michezo ya virtual na kadhalika.

   Faida za kubeti na Gal sport

  1. Timu moja ikikuchania mkeka unalipwa
  2. Casino ya aviator ambayo inaweza kukupa utajiri
  3. Urahisi wa kuweka mkeka
Hasara za kubeti na Gal sport 
  1. Haina cash out
  2. Haina mchezo ya jackpot
  3. Haina jackpot ya Bure
  • JINSI YA KUJIUNGA NA GAL SPORT TANZANIA
Kujiunga na Gal sport Tanzania nirahisi Sana Gusa >HAPA> na ufate maelekezo ili uweze kujisajili na Gal sport Tanzania. Promo code ya Gal sport Tanzania ni 1995

HELABET TANZANIA 
Helabet tanzania


Helebet Tanzania pia Ni mojawapo ya makampuni ya kubeti Tanzania. Helabet kwa Sasa inafanya vizuri zaidi katika tasnia ya michezo ya Bahati nasibu Tanzania. Helabet inaongoza kwa kuwa na ofa na Bonasi lukuki kwa wateja wake kwamfano Bonasi ya asilimia 100 ya kiasi atakachoweka mteja kwa Mara ya kwanza na Bonasi ya asilimia 25 kwa kila deposit ya mteja.
      Faida za kubeti na Helabet Tanzania
  1. Ni kampuni yenye odds kubwa
  2. Ni kampuni ya kubeti inatotoa Bonasi zaidi
  3. Nikampuni ya kubeti tanzania yenye options nyingi
Hasara za kubeti na Helabet Tanzania
  1. Haina mchezo wa aviator kwa Sasa
  2. Hairuhusiwi ku cash out michezo ikiendelea.
  • Jinsi ya kujiunga Na Helabet Tanzania
Kujiunga au kufungua account ya Helabet tanzania nirahisi Bofya >HAPA> kujiunga na helabet Tanzania. Jaza taarifa tajika. Promo code ya Helabet tanzania Jaza A84

888 BET TANZANIA
888 bet Tanzania

888 bet Tanzania Ni kampuni ya kubeti Tanzania inavyokuwa kwa Kasi zaidi tangu ilipozinduliwa rasmi September 2022. 888bet inaongoza kwa kutoa odds kubwa kwa wateja , cashout ya wakati wowote na zaidi ya michezo 3000 ya kasino za mtandaoni. Vilevile 888 bet inafanya kazi katika nchi za Kenya, Zambia, msumbiji, na Malawi na hivi karibuni wamesherekea kupata wateja walijisajili milioni 1 ndani ya mwaka mmoja.

 Faida za kubeti na kampuni ya kubeti ya 888bet Tanzania 
  1. Cash out ya wakati wowote
  2. Odds kubwa kuliko kampuni zote
  3. Free jackpot ya Kushinda Hadi milioni 500 bure
  4. Kuna mchezo wa aviator na kasino nyingine zaidi ya 2000
Hasara za kubeti na  kampuni ya kubeti ya 888bet tanzania
  1.   Hawana njia ya kubeti offline kwenye maduka
  • Jinsi ya kujiunga na 888 bet Tanzania
Kujiunga na 888 bet Tanzania nirahisi Jiunge kwa kugusa >HAPA> na ujaze namba yako ya simu na password na uanze kufurahia huduma za 888bet Tanzania

PMBET TANZANIA 
Pmbet Tanzania 


Pmbet Tanzania ni miongoni Mwakampuni za kubeti Tanzania yenye michezo mingi pamoja na michezo ya kasino za mtandaoni, aviator, keno, wolf, na kadhalika. Pmbet hutoa huduma Bora kwa watumiaji wake pamoja na Bonasi za unit kwa watumijai Bora wa kampuni ya kubeti ya Pmbet

Faida za kubeti na kampuni ya Pmbet Tanzania
  1.  Cash out ya muda wowote
  2. Michezo mingi ya kasino za mtandaoni
  3. Malipo ya haraka
  4. Ni rahisi kutumia 
  5. Kubeti bila bando kwa watumiaji wa Vodacom
Hasara za Pmbet Tanzania
 1. Kubeti bila bando Ni kwa watumiaji wa Vodacom peke take

  • JINSI YA KUJIUNGA NA PMBET TANZANIA.
kujiunga na Pmbet tanzania Gusa >HAPA> Jaza taarifa za usajili sehemu ya promo code ya Pmbet Jaza A84


BETWAY TANZANIA
Betway Tanzania


Betway Ni kampuni maarufu duniani ya kubeti vile vile Betway nimiongoni mwa kampuni za kubeti (kubashiri) zinazoendesha shughuli zake nchini Tanzania. Betway inasifika kwa kuwa na machaguo mengi, jackpot kubwa zaidi ya Hadi Bilion 5 TSH , jackpot za kila siku, michezo ya kasino, Kama vile aviator, roulette na michezo mingine kibao.

Faida za kubeti na Betway Tanzania
  1. Ina option (machaguo mengi ya kubeti)
  2. Inamichezo mingi ya kasino
  3. Ni rahisi kubeti
  4. Ina michezo mingi
  5. Ina cashout
  6. Ina cash back
  7. Ina jackpot kubwa zaidi ya Bilion 5
Hasara za kubeti na Betway Tanzania
  1.  Haina huduma za kubeti kwenye maduka
  2.  Usipodeposit haupewi Bonasi
JINSI YA KUJIUNGA NA BETWAY TANZANIA
Kama ilivyo kwa kampuni nyingine za kubeti Tanzania kujiunga na Betway Ni rahisi Sana Gusa >HAPA> Kisha ufuate maelekezo ili kujiunga na Betway Tanzania


MERIDIAN BET TANZANIA
Meridian bet


Meridian bet Ni kampuni kongwe ya kubeti nchini Tanzania. Huduma zitolewazo a meridian bet Zina uzoefu mkubwa katika tasnia ya michezo ya bahati nasibu na kasino za mtandaoni nchini tanzania, meridian bet hutoa boansi za kasino pale mteja anapodeposit 

Faida za kubeti na kampuni ya meridian bet tanzania
  1. Ina cash out

 2. Ina michezo ya casino 

Hasara kubeti na meridian bet 

1. Haina michezo mingi Sana 

  • Jinsi ya kujisajili na meridian bet Tanzania
Kufungua account ya meridian bet Gusa >HAPA> promo code ya meridian bet Ni 1109. Jaza taarifa zinazoirajika deposit kwenye account yako ya meridian bet na uanze kufurahia ushindi

PREMIERBET TANZANIA

Premierbet tanzania


Premierbet Tanzania ni miongoni Mwakampuni kongwe za michezo ya kubashiri nchini Tanzania. Premierbet inaendesha tovuti ya kubetia pamoja na maduka mbalimbali ya betting na casino nchini Tanzania

Faida za kubeti na Premierbet Tanzania

  1. Jackpot ya bure ya Kushinda Hadi Milion 60
  2. Casino za mtandaoni Premier bet
  3. Malipo ya Haraka
Hasara za kubeti na Premier bet

1. Haina application kwaajili ya kubetia hivyo unalazimika kujisajili katika tovuti ya premierbet.co.tz

JINSI YA KUJIUNGA NA PREMIERBET TANZANIA

Kujiunga na Premierbet Tanzani Ni rahisi Bofya >HAPA> Kujiunga na kampuni ya kubeti ya premierbet Tanzania 

Hitimisho hizi ndizo kampuni za kubeti tulizozifanyia utafiti tutaendelea kuongeza Orodha hii  siku Hadi siku 

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form