Pmbet Tanzania nikampuni ya kubeti inayoendesha shughuli zake nchini tanzania tangu mwaka 2016. Kuzinduliwa kwa Pmbet tanzania kulitoa fursa kwa wanaopenda michezo ya bahati nasibu kufurahia michezo mbalimbali ndani ya Pmbet Kama vile michezo ya kasino, wolf, keno, namba, mpira wa miguu, virtual sports, michezo ya farasi, nakadhalika
Table of contents
1. Kujisajili Pmbet Tanzania
2. Kuweka na kutoa pesa Pmbet Tanzania
3. Faida za Pmbet Tanzania
4. Mawasiliano ya Pmbet Tanzania
5. Hitimisho
JINSI YA KUJISAJILI PMBET TANZANIA
Kujisajili au kufungua Account ya Pmbet (playmaster tanzania) unatakiwa kufuata Hatua hizi
- Hatua ya kwanza ya kujisajili Pmbet tanzania tembelea tovuti ya Pmbet Tz au Bofya >Hapa>
- Hatua ya pili ya kujisajili Pmbet Jaza majina yako
- Hatua ya Tatu Tengeneza password au nywila yako
- Hatua ya nne Jaza mwaka, mwezi na tarehe ya kuzaliwa
- Hatua ya Tano Jaza Promo code ya Pmbet ambayo ni A84
- Jisajili
- Deposit
KUWEKA NA KUTOA PESA PMBET TANZANIA
Kama wewe tayari Ni mtumiaji wa Pmbet Tz au tayari umejisajili na Pmbet Tanzania unaweza kuweka pesa kwenye Account yako ya Pmbet Tanzania kwanjia ya Tigo pesa, M-PESA, Airtel money, au katika duka la wakala wa Pmbet. Ili kuweza kuweka pesa kwenye Account yako ya Pmbet, Ingia katika tovuti au app ya Pmbet Bofya deposit au kuweka pesa , Weka kiasi, na ubofye deposit Kisha ufuate maelekezo.
FAIDA ZA PMBET
Kampuni ya kubeti ya Pmbet, mtumiaji wake atapata faida mbalimbali Kama ifuatavyo
👉 Bonasi ya ukaribisho
👉 Bonasi ya kuweka pesa kwa Mara ya kwanza
👉Michezo mingi ya kasino
👉Kucheza Aviator
👉 Odds kubwa
👉Options nyingi za kubeti
👉 Ofa ya cashout
👉Malipo ya haraka
Miongoni mwa ofa na faida nyingine za kubeti na Pmbet Tanzania
MAWASILIANO YA PMBET TANZANIA
Unaweza kuwasiliana na Pmbet tanzania kwa njia kuu tatu ambazo Ni , moja kuwasiliana na Pmbet Tanzania kwa njia ya barua pepe (support@pmbet.co.tz) kuwasiliana na Pmbet kwa njia ya live chat, na mwisho Ni kuwasiliana na Pmbet kwa njia ya namba ya simu ya Pmbet ambayo ni 0800711222
Hitimisho,
Pamoja na hayo Pmbet inatakiwa kuwa nimiongoni mwa kampuni maarufu zaidi za kubeti mtandaoni nchini Tanzania. Hivyo hujali wateja wake na kutoa huduma Bora kwa kila mteja
Tags
Pmbet Tanzania