KAMPUNI ZA BETI ZENYE FREEBET
Hapa nakuwekea kampuni za kubeti zinazotoa beti ya bure kwa wateja wake .
Freebet au beti ya bure ni utaratibu ambao makampuni ya beti yamekuwa yakitoa kama zawadi kwa wacheza beti wake , ambapo mchezaji hubeti bila kuweka fedha yake. Ofa hii ya kubeti huweza kuwa kwa namna mbali mbali kama ifuatavyo.
Freebet pale unapojisajili, Baadhi ya makampuni hutoa beti ya bure kwa wateja wake pale wanapofungua account ya kubeti
Pili ni freebet kama bonusi pale mteja anapoweka fedha kwa mara ya kwanza. Baadhi ya makampuni hutoa hadi kiwango cha asilimia miamoja kulingana na kiwango alichoweka mteja kwa mara ya kwanza
Tatu ni freebet/ beti ya bure pale mteja anapopoteza beti mfululizo, beti hii huombwa na mteja husika katika kampuni husiaka ya kubeti.
SHERIA ZA FREEBET
Mara nyingi kampuni za kubeti huweka sheria mbalimbali na utaratibu unaopaswa kufuatwa ili mteja aweze kutoa fedha aliyoshinda kupitia beti ya bure au kuwa na sheria na utaratibu wa kuitumia hiyo beti ya bure na pale kila kitu kitafuatwa basi mteja atafurahia beti yake ya bure bila tatizo lolote. Mfano wa sheria hizo ni pamoja na kuwekewa kikomo cha ods, idadi ya mechi, ukubwa wa ods nk.
MAKOSA UNAYOPASWA KUEPUKA WAKATI WAKUTAFUTA FREEBET.
Kwakuwa hii ni ofa ya bure baadhi ya wateja wamekuwa wakienda kinyume na sheria za kampuni za betting kwa kujikuta wakifungua account zaidi ya moja jambo ambalo ni kinyume na taratibu, pia linaweza kukusababishia kufungiwa kwa account yako ya kubet na kupelekea kupoteza fedha zako zote ambazo umeshinda katika kampuni husika. Chakuzingatia hakikisha unaitumia vilivyo freebet au beti ya bure uliyopewa kwamfano kama ukideposits 10000 unapewa mara mbili yake basi jitahidi uweke kiwango kikubwa zaidi uli upewe freebet yakutosha nk.
Pili, usiitumie bet yabure kwa papara, itumie kama hukupewa bure kwa kufanya chaguzi sahihi za michezo au mkeka wenye uwezekano mkubwa wa kushinda.
ORODHA YA MAKAMPUNI YA KUBETI YENYE FREEBET TANZANIA
PMBET jiunge kwa kubofya >>HAPA>>
MERIDIANBET jiunge kwa kubofya >>HAPA>>
BETWAY TZ jiunge kwa kubofya >>>HAPA>>
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete