Kujisajili Leonbet Tanzania |Leon bet tz

 


Kampuni ya kubashiri ya leonbet Sasa inapatikana tanzania . Kwasasa imesajiliwa tanzania na inaanza operesheni zake hivi punde katika makala haya tutajadili mambo mablimbali kuhusu leonbet Tanzania Kama ifuatavyo,

  1.  Jinsi ya kujisajili Leonbet 
  2. Jinsi ya kuweka pesa leonbet 
  3. Huduma ka wateja leonbet 
  4. Bonasi za leonbet 
Jinsi ya kujisajili na leonbet 
Kama ilivyo kwa kampuni nyingine za kubashiri mtandaoni ili uweze kubeti na leonbet utatakiwa kuwa na account ya leonbet ambayo utafungua mtandaoni . Tembelea tovuti ya leonbet www.leonbet.co.tz au Bofya >HAPA> kujisajili Leonbet Tanzania
Kisha fuata Hatua hizi ili kukamilisha kufungua Account yako ya leonbet Tanzania 
  1. Ingiza namba yako ya simu
  2. Tengeneza password yako
  3. Ingiza jina lako
  4. Kamilisha usajili wako
  5. Deposit kwenye account yako ya leonbet 
Jinsi ya kuweka pesa leonbet tz
Kuweka pesa kwenye account yako ya leonbet Tanzania nirahisi unaweza kuweka pesa kupitia njia za simu ya mkononi Kama vile M-PESA Tigo pesa Airtel money wallet na halopesa.

Huduma kwa wateja (jinsi ya kuwasiliana na leonbet Tanzania) unaweza kuwasiliana na leonbet kupitia barua pepe ya support@leonbet.co.tz au kupitia kuchati live katika tovuti ya leonbet Tanzania au katika app ya leonbet.

Namba Za Leon Bet Tanzania
0800 75 0371 (namba ya kupiga simu

Bonasi na ofa za kujiunga na Leonbet
Zipo ofa mbalimbali unazoweza kuzipata kupitia leonbet Kama Bonasi ya kuweka pesa kwa Mara yakwanza, Bonasi ya mkeka na Bonasi nyingine mbalimbali 
Faida nyingine za leonbet nipamoja na 
  • Odds kubwa za michezo ya kubeti Tanzania
  • Nirahisi kutumia na wanatovuti inayovutia
  • Options nyingi za kubashiri
Makala hii itaendelea kwa kadri tutakavyopata taarifa mbalimbali kuhusu leonbet Tanzania 

#leonbettz #leonbettanzania #leonbet #leonbetapptz

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form