ASHINDA MILIONI 100 KWA KUCHEZA KINDEGE

 


Rubani Ally R. ameibuka na ushindi mkubwa baada ya kucheza mchezo wa Aviator maarufu Kama kindege. Ambapo amehinyakulia fedha kiasi Cha milioni 100, baada ya kuchukua ushindi Mara mbili kwa kiwango Cha milioni 50. Katika ukurasa wa Betway Tanzania wameandika

"Hongera kwa Ally.R aliyetusua jumla ya Milioni 100 kwa kupaisha ndege yake katika Aviator. ‼️‼️‼️Ally alivuna Milioni 50x2 katika raundi moja!

Wewe pia unaweza kutusua na kuwa mshindi wetu mkubwa zaidi. "

JE MCHEZO WA AVIATOR AU KINDEGE NI NINI HASA 

Mchezo wa aviator Ni mchezo wa kasino unapatikana katika kampuni za kubeti ambapo mchezaji huweka dau na kisubiri round ianze huku akitakiwa kuchukua ushindi kabla ndege haijadondoka (flew out) ikiwa itaungua kabla ya kuchukua ushindi wako utahesabika kuwa umepoteza. Hadi idadi maalumu ya alama za ndege kudondoka hivyo nikubahatisha. Kadri utakavyosubiri kwa muda mrefu ushindi unaongezeka huku hatari yabkupoteza kuongezeka pia.

JINSI YA KUJIUNGA NA AVIATOR

Bofya >HAPA > ujisajili na uanze kucheza Aviator

Tafadhali cheza kistaarabu

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form