Hapa tutaeleza Hatua kwa Hatua jinsi ya kuweka pesa kwenye Account yako ya 888bet Tanzania.
Bofya >HAPA> kufungua account ya 888bet
KUWEKA PESA 888BET KWA NJIA YA TIGO PESA
TigoPesa APP
- Kwenye ukurasa wa nyumbani chagua kulipia bili
- Kutoka kwenye menyu kunjuzi chagua au tafuta 888bet (808888)
- Ingiza kumbukumbu namba (888)
- Ingiza kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Weka namba ya siri
Tigo USSD
- Piga *150*01#
- Chagua 4 Lipa Bili
- Chagua 3 Ingiza namba ya kampuni
- Ingiza namba ya kampuni {808888}
- Weka kumbukumbu namba {888}
- Ingiza kiasi {Kima cha chini ni TZS 100}
- Ingiza namba ya siri kuhakiki
Tigo Pesa mtandaoni
- Bonyeza Weka kwa Tigo Pesa
- Chagua mtandao unaotumia: Tigo Pesa
- Ingiza Kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Bonyeza maliza muamala - utapata ujumbe wa kuweka namba yako ya SIRi kukamilisha muamala.
Kuweka pesa 888bet kwa njia ya Airtel money
Airtel Money USSD
- Piga *150*60#
- Chagua 5 Lipia Bili
- Chagua 6 Bahati Nasibu
- Chagua 1 Betting
- Bonyeza # Next
- Chagua 18 888BET
- Enter Amount (Ingiza Kiasi)
- Enter reference Number (Ingiza 888)
- Chagua 1 YES
- Enter PIN (Ingiza PIN)
Airtel Money mtandaoni
- Bonyeza Weka kwa Airtel Money
- Chagua mtandao unaotumia: Airtel Money
- Ingiza Kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Bonyeza maliza muamala - utapata ujumbe wa kuweka namba yako ya SIRi kukamilisha muamala.
Kuweka pesa 888bet kwa njia ya halopesa
HaloPesa USSD
- Piga *150*88#
- Chagua 4 - Lipia Bili
- Chagua 4 - Bahati Nasibu
- Chagua 0 - Mbele
- Chagua 6 - 888bet
- Ingiza kumbukumbu namba (888)
- Ingiza kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Weka namba ya siri
- Bonyeza 1 kuhakiki muamala.
HaloPesa USSD
- Piga *150*88#
- Chagua 4 - Lipia Bili
- Chagua 3 - Namba ya Biashara
- Ingiza namba ya Biashara (808888)
- Ingiza kumbukumbu namba (888)
- Ingiza kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Weka namba ya siri
- Bonyeza 1 kuhakiki muamala.
HaloPesa mtandaoni
- Bonyeza Weka kwa HaloPesa
- Chagua mtandao unaotumia: HaloPesa
- Ingiza Kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Bonyeza maliza muamala - utapata ujumbe wa kuweka namba yako ya SIRi kukamilisha muamala.
Kuweka Pesa 888bet kwa njia ya Selcom
WEKA PESA BURE MITANDAO YOTE:
Airtel, Halotel, Vodacom, Tigo, Zantel na TTCL
- Tembelea Wakala wa Selcom aliye karibu yako.
- Mpatie wakala pesa taslimu sawa na kiasi unachotaka kuweka pamoja na namba ya simu uliosajili 888bet.
- Wakala ataweka moja kwa moja kwenye akaunti yako ya 888bet.
- Utapokea SMS ya uthibitisho wa muamala na akaunti yako ya 888bet itawekewa pesa hapo hapo.
Vodacom M-Pesa USSD
- Piga *150*00#
- Chagua 4 - LIPA Kwa MPesa
- Chagua 4 - Weka namba ya kampuni
- Weka namba ya kampuni (808888)
- Weka namba ya kumbukumbu ya malipo (888)
- Weka kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Weka namba ya siri
- Chagua 1 kuthibitisha muamala.
Vodacom M-Pesa mtandaoni
- Bonyeza Weka kwa Vodacom M-Pesa
- Chagua mtandao unaotumia: MPesa
- Ingiza Kiasi (Kima cha chini ni TZS 100)
- Bonyeza maliza muamala - utapata ujumbe wa kuweka namba yako ya SIRi kukamilisha muamala.