Pmbet promo code 2025

  


A171 ndio promo code ya pmbet Kwa sasa. Promo code hiI ni maalumu wakati wakufungua account mpya ya pmbet. Ambayo hujazwa mara moja wakati wakujiandikisha katika tovuti ya pmbet.co.tz.

Kuhusu Pmbet (playmaster Tanzania)

Hii ni kampuni ya kubashishiri pamoja na casino za mitandaoni. Kampuni hii humilikiwa na kampuni ya igaming itwayo Betunit. Pmbet tanzania ilianza kazi zake rasmi tanzania mwaka 2013. Ikitoa huduma mbalimbali za michezo ya kubashiri mtandaoni pamoja na michezo ya casino.

Vilevile pmbet huendesha maduka mbalimbali yakubashiri katika maeneo mbalimbali nchini. Kwa taarifa zaidi kuhusu historia ya pmbet unaweza kutembelea tovuti ya pmbet katika kiungo (pmbet.co.tz)

Usajili wa kampuni ya kubeti ya Pmbet (playmaster Tanzania)

Kampuni ya kubashiri ya pmbet imesajiliwa kwa mujibu wa sheria kama ilivyo ada kuwa ili kampuni itambulike na kuruhusiwa kuendesha shughuli za michezo ya bahati nasibu nilazima isajiliwe. Hivyo pmbet ilikamilisha masharti hayo na kusajiliwa kwa mujibu wa sheria za michezo ya bahati nasibu kwa taarifa zifuatazo " Playmaster Gaming Corporation limited - an online gambilng and sports betting company, registered mailing adress, region Dar es salaam District kinondoni , ward Kinondoni, postal code 14110, street Manyanya, Road kawawa, plot number 243, block number 01, house number 01, E-mail : gva@betunit.com mobile number /tel number 0800711222, P.O.Box 32482 under the licence number SBP000000011. The principle place of the businesses shall be at , Dar es salaam ilala, lumumba street, No, 19 block 75 all right reserved and protected by law Playmaster gaming corporation limited Cs Tanzania +255746004003 support@pmbet.co.tz

Chanzo cha taarifa hii ni website ya www.pmbet.co.tz

Sasa tuangalie jinsi ya kujisajili Pmbet

Kujiandikisha pmbet tanzania ni jambo rahisi fanya hatua hizi ili uweze kujiandikisha Pmbet .

  • Unatakiwa kujaza namba ya simu bila kuanza na 0
  • Hatua ya pili tengeneza password
  • jaza password kwa mara nyingine. Nilazima zifanane.
  • Jaza tarehe, mwezi na mwaka wakuzaliwa.
  • Jaza promo code ya pmbet (pmbet promo code) ambayo ni A171
  • Dhibitisha.

Baada ya hatua hizo utakuwa tayari umeandikisha account yako ya pmbet sasa unaweza kudeposit na kuwithdraw kwenye account yako.

Pmbet promo code(promo code ya pmbet tanzania)

Msimbo huu muhimu kwaajili ya kujiandikisha pmbet. Katika.sehemu palipoandikwa ingiza promo code unatakiwa kujaza A171 kama promo code yako ya pmbet. Code hii muhimu ni kwaajili ya kusajili pmbet na nikwaajili ya wewe kupata bonasi ya hadi spin 100 za bure utakapoweka pesa kwenye account yako

Jinsi ya kuweka pesa Pmbet

Unaweza kuweka na kutoa pesa pmbet kupitia njia mbalimbali za simu kama ifuatavyo

1. M-pesa

2. Mixx by yas

3 .Halopesa

Katika njia hizi utaweza kuweka pesa kwa urahisi kupitia njia ya instant (direct deposit) au unaweza kutumia njia njia ya USSD kama ifuatavyo.

1. Kuweka pesa kwa njia ya USSD Mpesa

weka Id ya account yako kama namba ya kumbukumbu.

1. Hatua ya kwanza

  piga *150*00#

2. Hatua ya pili

3. Chagua namba nne lipa kwa Mpesa

Hatua ya tatu chagua 4 weka namba ya biashara

4. Hatua ya nne weka namba ya biashara 800888

5. Hatua ya tano weka namba ya kumbukumbu

6. Hatua ya sita weka kiasi

7. Hatua ya saba dhibitisha kisha weka namba ya siri

8. Hatua ya 8 bofya 1 kudhibitisha ,

NB inaweza kuchukua dakika kadhaa hela.kuingia kwenye account yako ikiwa itachelewa wasiliana na Pmbet mara moja kwa kupiga simu bure, 0800711222

Jinsi ya kudeposit Pmbet kwa njia ya Mix by Yas (tigo pesa)

Weka Id number yako ya pmbet kama namba ya kumbukumbu.

1. Piga *150*00#

2 chagua namba 4 lipa bili

3. Chagua namba 3 ingiza namba ya biashara

4. Ingiza namba ya biashara 888888

5. Ingiza namba ya kumbukumbu

6. Ingiza kiasi

7. Dhibitisha na ingiza namba ya siri. 

Nb ikiwa pesa itachelewa kuingia kwenye account yako wasiliana na pmbet kupitia mawasiliano yaliyoainishwa hapo juu.

Jinsi ya kudeposit kwa njia ya Airtel money

Account yako /namba ya kumbukumbu ni namba uliyojisajili

Ingiza id number yako ya accouny kama namba ya kumbukumbu.

1. Piga *150*60#

2. Chagua 5 kwa kufanya malipo

3. Chagua 4 ingiza namba ya biashara

4. Ingiza namba ya biashara 800888

5. Ingiza kiwango unachotaka kuingiza

6. Ingiza PIN kudhibitisha

Jinsi ya kudeposit kwa Helopesa

Fuata hatua hizi kudeposit pesa kwa kwa njia ya halopesa,

Account yako/ namba ya kumbukumbu nilazima iwe namba uliyojisajilia

Ingiza namba ya id account kama namba ya kumbukumbu

1. Piga *150*88#

2. Chagua namba 4 lipa bili

3. Chagua namba 3 kwa namba ya biashara

4. Ingiza namba ya biashara 800888

5. Andika PMBET kama namba ya kumbukumbu

6. Ingiza kiwango

7. Dhibitisha taarifa na PIN

NB.ikiwa pesa itachelewa kuingia katika account yako tafadhali wasiliana na pmbet kwa haraka. Mawasiliano yameainishwa juu.


FAIDA ZA KUJISAJILI NA PMBET

je kuna umuhimu wa kujisajili na pmbet? Ndio zipo faida kadhaa za kujisajili na pmbet tanzania faida hizo nipamoja na.

1. Ni rahisi kutumia

2. Ina odds kubwa

3. Ina michezo mingi ya kasino

4. Ina options nyingi

5. Ina cashout

Hasara au udhaifu wa pmbet

1. Haina njia za kidigitali za kudeposit kama vile , skrill, master card, visa card and BTC

2. huwezi kubeti bila bando kwa mtandao tafauti na voda

3. Jackpot ya pmbet ni ndogo ni kiasi cha tsh miliomi 10 pekee kwa kubeti tsh 100

Maoni ya wadau kuhusu Pmbet

Jacky kutoka Dar es salam

Pmbet nikampuni nzuru ya kubashiri kwanza nirahisi kutumia hata kwa mteja ambaye ni mgeni . Mimj nilijiunga na pmbet mwaka juzi na nimekuwa nikicheza zaidi michezo ya casino na slots katika kampuniya Pmbet . Kujiunga pia ni rahisi.

Devis kutoka Arusha

Pmbet ni nzuri kwasababu wana huduma ya cashout pamoja na casino nyingi kama vile aviator, mayan gold n.k

Gabriel kutoka Mbeya

Pmbet ni nzuri lakini wanatakiwa kuongeza bonasi kwa wateja wake

Hitimisho

Kwa mujibu wa utafiti wetu kampuni ya pmbet inapendekezwa kutumiwa kwa kiwango cha 3.9-4.0 hivyo unaweza kutumia kampuni hii katika bashiri zako mbalimbali. Aidha unakumbusha mara zote kubashiri kistaarabu na kubashiri kiwango ambacho hutaumia endapo utapoteza. Endpounasumbuliwa na uraibu wa betting unaweza kutafuta msaada zaidi mtandaon.

Mapitio ya tovuti mbalimbali mtandaoni (Reference)

1. Tovuti ya pmbet Tanzania : kiungo (www.pmbet.co.tz)

2. Tovuti bodi ya michezo ya bahati nasibu tanzania kiungo : (www.gamblingboard.co.tz)

3. Tovuti ya similarweb kiungo  https://www.similarweb.com/website/pmbet.co.tz/#ranking

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form