Jinsi ya kucheza Mchezo wa Aviator

 


Aviator  ni mchezo wa kasino maarufu zaidu africa kwa sasa huku ukizidi kuwavutia mamilion ya wachezaji kote duniani. Mchezo wa Avitor  wenye haki miliki ya Sprible ulitambulishwa kwa mara ya kwanza 2018 lakinj ulikuja kuwa maarufu zaidi miaka ya 2022, hadi sasa. Mchezo huuu kwa sasa unapatikana katika kampuni mbalimbali za kubeti mtandaoni kama ifuatavyo

1.Ukitaka kucheza 888bet Avitor  bofya >HAPA>

2. Ukitaka kucheza Pmbet Avitor  bofya >HAPA>

3. Ukitaka kucheza Meridianbet  aviator  bofya >HAPA>


Pamoja na mchezo huu kuwa maarufu watu wengi bado wanajiuliza jinsi ya kucheza mchezo huu unaojulikana pia kwa jina la kindege.

Hatua za kucheza Aviator

1. Hakikisha umeshajisajili katika kampuni ya kubashiri yenye mchezo huu wa aviator

2. Hakikisha una salio katika account yako

3. Bofya alama ya Avitor  au kindege, itakupeleka katika jukwaa la kuchezea, weka kiasi na usubiri round mpya kuanza

4. Utaona kiasi kikiongezeka kadri alama zinavyozidi kupanda.

5. Kumbuka kuchukua ushindI mapema kabla kindege hakijapeperuka, hakuna muda wala alama maalumu ya kupeperuk, hivyo unaweza kupoteza wakati wowote, kadri unavyosubiri sana ndivyo utakavyoshinda pesa kubwa lakini pia unaongeza hatari ya kupoteza

Mbinu za kushinda Aviator

Kwanza unafaa kujua hakuna programu inayoweza kutabiri mwenendo wa aviator  tumia mbinu hizi zinaweza kukupa ushindi.

1. Soma mizunguko iliyopita inaweza kukupa mwanga

2. Chukua ushindi haraka

3. Jaribu dau kubwa na uchukue ushindi kabla ya 1.50

4. Jaribu madau madogo na uache hadi 20,30, 100 au zaidi. Kumbuka ipo mizunguko ya jackpot ambayo unaweza kwenda hadi mara 300,000 ya dau lako. Huwezi kutabiri lakini huwa inatokea.

Mambo ya Kuepuka wakati ukicheza Aviator

  • Usicheze kwa hasira
  • Ukipoteza sana pumzika
  • Usicheze kwa pesa ya mahitaji maalumu
  • Cheza kiwango ambacho unaweza kuhimili ukipoteza
  • Cheza kisaarabu
  • Tambua wakati wa kupumzika

Hayo ndiyo mambo muhimu ya kufahamu kuhusu mchezo wa aviator  , maarufu kama kindege.


Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form