Paripesa ni kampuni ya kubashiri mtandaoni nchini TANZANIA inayofanya kazi pia katika nchi mbalimbali duniani. Paripesa inafanya vizuri kwa sasa kutokana na huduma nzuri inayotoa kwa wateja wake 24/7 ikiwa ni pamoja na malipo ya haraka , masoko mengi , miongoni mwa huduma nyingine.
Jinsi ya kujisajili paripesa
- Tembelea tovuti ya paripesa.co.tz au bofya >HAPA>
- Jaza namba yako ya simu bila kuanza na 0 kisha bofya send sms
- Utapokea code au namba kwenye namba ya simu uliyojaza, ingiza hizo namba
- Jaza promo code ya paripesa ambayo ni A84
- Tengneza password ambayo nina mchanganyiko aa namba na jina
- Bofya kibox cha kukubali sheria na masharti
- Bofya jisajili au register
Jinsi ya kuweka na kutoa Pesa paripesa
Unaweza kuweka na kutoa pesa paripesa kwa njia hizi
- Kuweka pesa kwa njia ya mpesa
- Kuweka kwa njia ya Mix by yas
- Kuweka pesa kwa halopesa
- Kuweka kwa artel money
- Bank
- Selcome
- Skrill
- Binance
- Btc
- USDT
Na njia nyingine mbalimbali njia hizo hizo pia hutumika wakati wa kutoa pesa paripesa
Kumbuka promo code ya paripesa ni A84
Na hutumika mara moja tu wakati wakujisajili .