Premierbet nimiongoni mwa kampuni kongwe zaidi za michezo ya bahati nasibu Tanzania . Kampuni ya premier beti ni miongoni mwa kampuni bora zaidi za kufanya bashiri mtandaoni pamoja na kucheza casino mbalimbali katika tovuti yao.kampuni hii humilikiwa na Entertainment Africa Ltd (editec)
Hatua za kujisajili Premierbet Tanzania
- Tembelea tovuti ya premierbet tanzania www.premierbet.co.tz
- Jaza jina la kwanza (first name)
- Jaza jina la pili ( Second name)
- Jaza namba ya simu (phone number)
- Jaza tarehe ya kuzaliwa (Date of birth)
- Tengeneza Nywila (password )
- Thibitisha Nywila (confirm your password )
- Barua pepe (E-mail addres)
- Jaza msimbo wa Matangazo (promo code) Jaza neno Ofa
- Bofya jiunge kwa usalama ( join securely)
Msimbo wa matangazo Premier bet ( Promo code ya premierbet )
Msimbo wa matangazo premier bet ni code au neno maalumu ambalo hutambulisha bonasi pindi utakapojisajili na kuweka pesa katika account yako ya premierbet. Hivyo msimbo wa matangazo Premierbet Jaza neno Ofa kisha jisajili . Kwa toleo la kingereza huitwa pia premier bet promo code hiyo promo code ya premierbet jaza neno Ofa. Kisha jisajili na uendelee na hatua nyinginezo kupokea bonasi.
Michezo inayopatikana Premier bet tanzania.
Kampuni ya kuabashiri ya premierbwt huweka michezo ya ligi mbalimbali kama ifuatavyo
- Premier league
- Laliga
- League 1
- Serie A
- Serie B
- Championship
- Bundersliga
- Africa cup of nations
- Uefa
- Euros
- World cup
- NBA
- Australia open
- Wimbledon
- Ligi kuu tanzania bata , miongoni mwaligi mbalimbali etc.
Pia michezo mbalimbali hupatikana katika tovuti ya premierbet tanzania kama ifuatavyo
- Soccer
- Table tennis
- Basketball
- MMA
- Cricket
- Volleyball
- handball
- Etc
Baada ya hayo tuangalie njia mbalimbali za kuweka pesa katika tovuti ya Premierbet tanzania kwa mujibu wa www.premierbet.co.tz
KUWEKA PESA KUPITIA CREDIT CARD
Ingia kwenye Akaunti yako ya Premier Bet;
Bofya kitufe cha WEKA PESA juu kabisa ya screen yako;
Chagua njia ya “Credit Cards”;
Ingiza kiasi unachotaka kuweka kisha bofya ENDELEA.
Utahitajika kujaza taarifa zako binafsi na taarifa za credit card yako ili kuendelea na malipo Bofya kitufe cha Lipa Sasa ili kuthibitisha malipo na benki yako. Baada ya
Bofya kitufe cha Lipa Sasa ili kuthibitisha malipo na benki yako.
Baada ya kukamilisha malipo pesa zitakua zimeingia kwenye akaunti yako ya ubashiri.
KUWEKA PESA KUPITIA SELCOM
Wasiliana na Wakala au kituo cha mauzo cha Selcom
Ulizia huduma ya kuweka pesa kwenda Premier Bet
Kabidhi namba ya simu uliojisajilia akaunti yako au namba ya akaunti inayopatikana kwenye wasifu wako
Baada ya hamisho la pesa kufanyika utapokea risiti
Papo hapo pesa itaingia kwenye akaunti yako
KUWEKA PESA KWA MIX BY YAS (TIGOPESA )
Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kuweka pesa kwa njia ya
Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
Ingiza kiasi upendacho kuweka
Chagua njia ya malipo ya ‘Tigo Pesa’
‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’
KUWEKA PESA KWA AIRTEL MONEY
Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kuweka pesa kwa njia ya
Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
Ingiza kiasi upendacho kuweka
Chagua njia ya malipo ya ‘Airtel Money’
‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’
KUWEKA PESA KWA VODACOM MPESA
Tafadhali angalia hii video au fuata maelekezo hapa chini jinsi ya kuweka pesa kwa njia ya
Tengeneza akaunti au ingia kwenye akaunti yako
Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’ upande wa juu wa kioo chako
Ingiza kiasi upendacho kuweka
Chagua njia ya malipo ya ‘Vodacom Mpesa’
‘Deposit’ button – Bofya kitufe cha ‘WEKA PESA’
Ruhusu kupokea bonasi zozote zilizopo
Bofya kitufe cha‘ENDELEZA MALIPO’
JINSI YA KUWASILIANA NA PREMIER BET
Je una tatizo lolote katika account yako au unakumbana na changamoto wakati wa kutoa pesa, pokea usaidizi wa haraka kutoka premier bet kupitia namba yao ya simu ambayo ni 0800750032.