Baada ya kusambaa kwa taarifa mbalimbali katika mitandao ya kijamii, kuhusu ligi ya tanzania na tasnia ya michezo ya kubashiri, hasa baada ya matokeo pamoja na matukio ya hivi karibuni , toviti hii imefanya utafiti na kukuletea habari za uhakika na ukweli na uvumi ni upi.
Kashfa ya upangaji wa matokeo sio kweli.
Mpaka sasa hakuna kashfa ya upangaji wa matokeo na hivyo bado ligi yetu inaaminiwa kwa kiwango kikubwa. Pamoja na matokeo ya timu kubwa simba na Yanga kutabirika mara nyingi bado hakuna uhalali wa upangaji wa matokeo.
Timu za ligi ya tanzania hazijaondolewa kwenye kampuni za michezo ya kubashiri.
Katika utafiti wetu wa kutembelea vitabu vya michezo mbalimbali na tovuti za kubashiri bado tumeshuhudia mchezo wa ligi kuu kati ya Simba na JKT tanzania ikiorodheshwa kwa alama (odds) nono kuashiria kuaminika kwa matokeo
![]() |
Meridian Bet tanzania |
![]() |
Pmbet Tanzania |
![]() |
1xbet |
![]() |
888bet Tanzania . Kujisajili Bofya >HAPA> |
Upangaji wa matokeo ninini? (Fixed game)
Upangaji sa matokeo ni kununua matokeo ya mchezo husika kwa kulipa fedha kwa maslahi binafsi , nikinyume cha sheria za michezo, na sheria za nchi adhabu yake nipamoja na timu kushushwa daraja, kifungo , dau bashiri kutolipwa au kukataliwa
Mwisho; Tunaendela kuhimiza matumizu ya VAR ili kuondoa makosa madogo madogo yakibinadamu yanayoweza kutokea wakati wa maamuzI ya mwamuzi wakati wa mchezo