Jinsi Ya kujisajili Megapari kwa Kutumia Promo Code -Kutoa na kuweka pesa

 


Kampuni  ya Kubashiri ya megapari ni miongoni mwakampuni  za kimataifa zenye leseni ya Curacao zinazofanya kazi katika kampuni mbalimbali duniani. Hapa tuangazie mambo mablimbali kuhusu kampuni ya megapari .

Yaliyomo ( Table of content)

  • Jinsi ya kufungua account
  • Promo code ya megapari
  • Kutoa na kuweka pesa megapari
  • Bonasi  za megapari

Jinsi ya Kujisajili Megapari
hizi hapa hatua kwa hatua jinsi ya kuweza kujisajili na kubashiri na Kampuni  ya megapari
  1. Tembelea tovuti ya www.megapari.com (bofya link hiyo kufungua)
  2. Chagua kujisajili  kwa phone number (kujisajili kwa namba ya simu)
  3. Jaza namba yako ya simu kisha click send sms , utapokea ujumbe kwenye namba yako ya simu jaza
  4. Tengeneza password
  5. jaza promo code ya megapari ambayo ni A84
  6. Bofya kibox cha kukubali sheria na masharti kisha bofya register
Baada ya hapo account  yako imekuwa tayari kumbuka password  na kujaza sehemu ya profile . Hatua inaypfuata hapa chini ni maelezo kuhusu promo code ya megapari .

Promo Code Ya Megapari
Hii ni code maalumu  ambayo hutumika mara moja wakati wakusajili account. Promo code ya megapari ni A84 , hii ni mahususi kwaajili ya kupata bonasi pindi utakapodeposit kwa mara ya kwanza katika account yako.

Jinsi ya kuweka Pesa Megapari
Hapa nitaeleza mchakato rahisi wa jinsi ya kuweka pesa katika account yako ya megapari na fedha kufika kwenye account yako kwa uharaka bila kuchelewa.
Unaweza kuweka pesa Megapari kwa njia ya M-pesa, Airtel Money, Mixx By yas, na halopesa. Pia unaweza kudeposit kwa njia nyingine za kidigital kama , Skrill, Bitcoin na kadhalika.

Jinsi  ya kuweka Pesa Kwa M-Pesa

  1. Bofya sehemu palipoandikwa Deposit kisha chagua M-PESA  (vodacom)
  2.  Copy namba ya lipa Kwa Mpesa iliyopo kwa sasa ni 58559846 , jina ni MEGA PESA
  3. Copy account number yako, ipo sehemu ya kimdoli au sehemu ya profile.
  4. Ingia kwenye menu yako ya mpesa , lipa kwa simu namba husika hapo juu kama inavyooneshwa katika sehemu ta deposit.
  5. Ukishatuma pesa ingia kwenye account yako , weka kiasu ulichotuma, jaza na  kumbukumbu number ya muamala, transactions  id , Refernce number kisha Comfim. Pesa itaingia kwenye account yako ndani ya muda mfupi
Tumia Hatua hizo hizo kuweka pesa kwenye account yako kwenye mitandao mingine.

2. Kuweka pesa kwa Tigopesa , Lipa number
43442287 jina Mega pesa
3. Kuweka pesa kwa Airtel money lipa number 
65263238 Megapesa
4. Kuweka pesa kwa airtel money 0615399306 

Bonasi za Megapari
Kampuni ya megapari inazo bonasi mbalimbali kwa wateja kama vile , bonasi ya ukaribisho hadi 570,000 , kumbuka bonasi hii itategemea na kiasi ulichoweka kwa mara ya kwanza ambapo utapata bonasi kiwango sawa na pesa uliyoweka.
Faida nyingine ni pamoja na kuwa haina makato ya kodi miongoni mwa bonasi nyongine


Jinsi ya kutoa pesa Kwa Megapari
Kutoa pesa nirahisi, bofya withdrawal  kisha tumia njia uliyotumia kudeposit kutoa pesa kwenye account yako.

Mwisho
Kumbuka kubeti kistaarabu



Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form