JINSI YA KUJIUNGA NA KAMPUNI YA MERIDIANBET TANZANIA

  


Katika makala hii tutajadili jinsi ya kujiunga na meridianbet Tanzania , Hatua kwa Hatua, promo code ya meridianbet (1109) , umuhimu wa kujisajili na kubeti na meridianbet , mbinu za Kushinda na meridianbet mtandaoni tanzania.

Table of contents (yaliyomo)

Kama tulivyokwisha kueleza hapo juu katika makala hii tutajadili Mambo mbalimbali.

1. Jinsi ya kujisajili meridianbet 

2. Promo code ya Meridian bet Tanzania

3. Jinsi ya kubeti na meridianbet Tanzania

4. Bonasi za meridianbet tanzania

5. Michezo inayopatikana meridianbet

6.masoko ya Meridian bet  (meridianbet betting options) 

7. Jinsi ya kuwasiliana na meridianbet Tanzania

8. Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu meridianbet

Meridianbet bet Aviator : kucheza Aviator ya meridianbet jisajili, Jaza promo code 1109 na uanze kucheza


1: JINSI YA KUJISAJILI NA MERIDIAN BET TANZANIA

Kujisajili mi niktendo Cha kufungua account ambacho hufanywa na mteja kwa lengo la kuwa na account ya kubeti ya kampuni fulani. Hapa tutazungumzia jinsi ya kujisajili na meridianbet Tanzania kwakuwa wanavonasi nyingi kwa wateja pale mteja anapodeposit na kuweka mikeka yake na meridianbet . Fuata Hatua hizi kuwa na account ya meridianbet 

    1.1 Hatua ya kwanza tembelea tovuti ya meridianbet bet , (www.meridinbet.co.tz)au Bofya >Hapa> Kisha Bofya jisajili

   1.2  Jaza namba yako ya simu ya mkononi, bila kuanza na 0

 1.3. Jaza password yako au nywilia (changanya maneno na namba)

 1.4. Rudia kujaza password Kama ulivyojaza hapo juu

  1.5 Jaza promo code ya Meridian bet ambayo ni 1109 

1.6 , Kubali sheria na masharti

1.7 Bofya jisajili (register)

2: PROMO CODE YA MERIDIAN BET TANZANIA

Huu Ni msimbo maalumu wa kujisajili na meridianbet Tanzania ambapo utapokea Bonasi ya kuanzia 3500 pindi utakapojisajili na kudeposit. Sehemu ya promo code ya Meridian bet Jaza 1109

3. JINSI YA KUBETI NA MERIDIANBET 

Kuanza kubeti na meridianbet nirahisi, baada ya kujisajili na meridianbet unatakiwa kudeposit katika account yako ya Meridian bet kupita M-PESA, Tigo pesa, Airtel money na Halopesa.

Baada ya hapo utaingia katika michezo ya mpira wa miguu na kuchagua michezo unayoifahamu, unaweza kuchagua

   -Timu ya nyumbani Kushinda

    -Timu ya ugenini Kushinda

    -Timu zote kufungana

      - Idadi ya magoli (over and under)

Baada ya hapo utaingiza kiasi unachotaka ku stake na kuweka mkeka wako na kusubiri matokeo 

4: Bonasi za meridianbet Tanzania

Kampuni ya kubeti ya meridianbet hutoa Bonasi mbalimbali kwa wateja wake pindi wanapoanza kubeti na kudeposit meridianbet miongoni mwa Bonasi hizo Ni pamoja na free spin, dau la bure, Zawadi mbalimbali za Kushinda Kama vile simu, Bonasi za Aviator , Bonasi ya ukaribisho, 200% miongoni mwa Bonasi nyingine



5: Michezo inayopatikana meridianbet Tanzania

  • Mpira wa miguu 
  • Virtual sport
  • Casino
  • Live Dealer
  • Black jack
  • Aviator
  • Jackpot
  • Keno

6:  Masoko ya meridianbet Tanzania 

Zipo options mbalimbali za kubeti za meridianbet tanzania Kama ifuatavyo 

  1. Timu ya nyumbani Kushinda 
  2. Timu ya ugenini Kushinda
  3. Sare 
  4. Double chance (Kuna yeyete Kushinda 12, home Kushinda au sare 1x
  5. Ugenini Kushinda au sare 2X
  6. Timu zote kufungana (GG) No & yes
  7. Idadi ya magoli over 1.5, 2.5, 3.5 etc
  8. Timu utakachoshinda kipindi Cha kwanza /pili
  9. Matokeo ya jumla (correct score) 
  10. Double bet  nafasi mbili 
  11. Idadi ya kona over and under
  12. Matokeo Shufwa na witiri (odd & even )
  13. Mchezaji atakayefunga goli.
  14. Matukio ya mchezo Kama offside, free kick fouls, corner & Penalty

7: JINSI YA KUWASILIANA NA MERIDIANBET 

ikiwa una changamoto yeyote na unataka kuwasiliana na meridianbet unaweza kuwasiliana nao kupitia kuchati moja kwa moja katika tovuti ya meridianbet au kupiga simu namba +255768988200 au kupitia barua pepe yao support@meridianbet.co.tz 

8: Maswali yanayoulizwa Mara kwa Mara kuhusu meridianbet (FAQ) 

 1. Promo code ya meridianbet 2024 Ni ipi?

     Promo code ya meridianbet Ni 1109

2. Jinsi ya kuweka pesa meridiabet Tanzania?

Kuweka pesa meridianbet tanzania Ingia katika tovuti ya meridianbet chagua deposit Bofya fuata utaratibu rahisi wa kuweka pesa kwenye account yako

3. Meridianbet Kuna Bonasi ?

Ndio

Post a Comment

0 Comments