Tatizo la kuchaniwa mkeka na timu moja hujitokeza Mara kwa Mara ambalo huwaathiri wengi na kujikuta wakipoteza mikeka Mara kwa Mara. Makala hii inalenga kukupa kampuni ambayo itakulipa Kama nitimu moja pekee iliyochana mkeka wako.
Yaliyomo
- Timu moja haichani mkeka
- Vigezo vya malipo
- Hitimisho
Nikampuni ipi ambayo hulipa timu moja ikichana mkeka?
Kampuni ambayo hulipa mkeka ikiwa timu moja itachana mkeka Ni Betway Tanzania.
Bofya >HAPA>kujiunga Na Betway Tanzania
Vigezo Vya kulipwa Kama Timu moja ikikuchania mkeka
- Bet Saver iko wazi kwa wateja wapya na waliopo.
- Bet Saver ni halali na stahiki kwa mikeka ya michezo kabla ya mechi na mechi elekezi za mubashara.
- Bet Saver inatumia mahesabu kupima na kurejesha dau kwa vigezo vya odds, idadi ya mikeka, dau na iliyochanika.
- Kwenye malipo, Bet Saver italipa kwenye akaunti ya pesa taslimu.
- Mkeka wa mechi moja (Single Bet), Outright, Tournament bets na soko la Draw No Bet hazitapokelewa kwenye Bet Saver
- Betway ina haki ya kuendelea kutoa masoko mengine kwenye huduma ya Bet Saver.
- Kama machaguo yatafutwa, machagua yaliyobaki ndio yatatumika na Bet Saver. Machaguo yaliyobaki yatafanyiwa hesabu kabla ya marejesho. Hivyo kiasi kitakacholipwa kinaweza kuwa tofauti na kiwango cha awali kwenye mkeka.
- Viwango vya Bet Saver vitaonekana kwenye mkeka, kama hutaona kiwango cha Bet Saver, basi mkeka haujakidhi vigezo.
- Kama uki-cash out mkeka wako hautakua halali kwa Bet Saver tena.
- Tuna haki ya kuendelea kuchunguza na kufwatilia vitendo ya udanganyifu. Vitendo hivi havikubaliwi na vinaweza kusababisha kutolewa katika promosheni.
- Vigezo na masharti vya promosheni zetu kutumika.
- Maingizo yote kutoka kwa namba za zimu za watu wasiokidhi vigezo hayatakubaliwa.
Ili uweze kulipwa nilazima vigezo hivyo vionekane katika mkeka uliokuchania mkeka wako.
Beti kistaarabu.