Jinsi ya kujisajili Pmbet Tanzania kwa kutumia promo code


Pmbet tanzania ni kampuni ya kubashiri mtandaoni. Kulingana na mtambo tafutishi wa google watu wengi wamekuwa wakitafuta kujua jinsi ya kujisajili katika kampuni hiyo kwa kutumia promo code. Promo code ni msimbo maalumu Ambao unatikwa kuwa nao ili uweze kukamilisha usajili wako. Katika makala hii tutaeleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza kufungua account yako.

1. Tembelea tovuti ya pmbet Tanzania kwa kuserch google pmbet tz

2. Andika namba yako bila kuanza na 0

3. Jaza tarehe mwezi na mwaka wakuzaliwa

4. Tengeneza password yako ama nywila ambayo utaikumbuka

5. Jaza promo code ya Pmbet ambayo ni A84

6. Bofya jisajili

Hapo tayari utakuwa umeshafungua account yako.

Pamoja na kuwa Tanzania inanufaika kwa michezo bahati nasibu michezo hii inapaswa kuchezwa kwa tahadhari. Kwani huweza kusababisha uraibu. Maranyingi wachezaji wamekuwa wakikumbushwa kucheza kistaarabu na kucheza viwango ambavyo wanaweza kuhimili endapo watapoteza.


Kwa miaka ya hivi karibuni michezo hii imekuwa ikiwavutia hasa vijana, lakini ukweli nikwamba michezo hii inapaswa kudhibitiwa kwa kiwango kizuri ili wale wanaocheza wawe kweli wamefikisha umri wa miaka 18, kwa kupakia Nida zao katika tovuti husika.


Ungana nami katika makala nyingine.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Contact Form