Hujambo ndugu msomaji katika makala hii tutajifunza option mbili za kubeti ambazo ni kubeti handcup na correct score!
Maana ya handcup
Handcup maana yake ni timu kupewa magoli kabla ya mchezo kuanza. Mara nyingi timu inayoonekana dhaify hupewa goli na kwenye kitabu cha ubashiri then wewe ndio uweke mkeka wako , kwamfano, Manchester united +2 Vs Manchester City-1 hii maana yake kabla ya mchezo kuanza tayari man U anaongoza goli mbili alizopewa kwenye kitabu cha ubashiri , kisha city yeye yupo nyuma goli moja , hivyo baada ya mchezo hujumlishwa goli alizokuwa amepewa au amwnyang'anywa jumlisha matokeo aliyoyapata ndani ya mchezo.
Kampuni nzuri ya kubet Handcup Bofya >HAPA>
Mbinu za kushinda Hundcup
Nimuhimu kwanza kujua timu yenye uwezo pamoja na performance ya timu husika, mara nyingi timu dhaifu kama imepewa goli 1 baada ya mchezo inaweza kufungwa magoli zaidi ya moja , hivyo goli moja walilopewa halitasaidia, Vilevile kama timu bora imepewa goli 1, au 2 inaweza kuongeza magoli zaidi au kama ikitokea imefungwa 1, basi goli walilopewa moja itakuwa sare na kama wakitoka 1-1 basi watashinda 1-2, hivyo kwenye handcup kama ukikuta timu bora imeongezewa +1 au +2 kuna uwezekabo mkubwa wa kushinda. Pia kama timu dhaifu imepewa +3 kuna uwezekano mkubwa wakushinda maana sio rahisi timu bora kushinda kuanzia goli nne kwa 0
Jinsi ya Kubet Correct score
Hii ndio option ngumu zaidi katika machaguo, kwani utatakiwa kubashiri jinsi matokeo ya moja kwa moja yatakavyokuwa na idadi ya magoli. Pamoja na ugumu wake option hii ina alama kubwa .
Mbinu za kubeti correct score,
- Weka timu chache mfano mbili au moja,
- rudia kwa idadi ya magoli tofauti katika mikeka tofauti
- Chagua ligi unayoifahamu vyema
- angalia current performance ya timu na mfululizo wao wa matokeo
- Angalia aina ya wachezaji
- Mara nyingi ushindi wa 1-0, 2-1 , 3-1, 2-2 hutokea
- Angalia predictions mtandaoni katika vyanzo mbalimbali
- Timu zote kufungana GG/BTTS
- Option ya Double chance
- Option ya over and under 2.5, 1.5, under 4.5
- Kubeti redcard
- Matokeo ya moja kwa moja
- Kubet kona
- VAR to be used