Maana ya over kwenye betting, hii ni option ya kubashiri ambayo utatakiwa kusema idadi ya magoli yatakayopatikana katika mchezo, yatazidi mangapi?
Maana ya Under , utatakiwa kusema magoli yatakayopatikana katika mchezo yatakuwa chini ya magoli mangapi? Huweza kuwa ndani ya mchezo mzima au sehemu ya mchezo.
- Maana ya under 1.5 , hii inamaana magoli yatakayopatikana katika mchezo yasizidi goli 1, yani yawe kuanzia 0-0 au 1-0
- Under 2.5 , magoli yatakayopatikana katika mchezo yasizidi magoli mawili yani yawe chini ya magoli mawili
- Under 3.5 , magoli yatakayopatikana yasizidi magoli matatu mfano 2-1,1-1, 0-0, au 3-0
- Over 0.5 maana yake mchezo huo uwe na goli.
- Under 0.5 maana yake kusiwe na goli lolote
- Over 2.5 maana yake yapatikane magoli matatu kuendelea
- Over 1.5 maana yake yapatikane kuanzia magoli mawili kuendelea.
Kampuni nzuri za kubeti Over/na under zenye odds nzuri
1. 888bet jiunge kwa kubofya >HAPA>
2. Betway Tz jiunge kwe kubofya >HAPA>
Je ni alama zipi zenye ushindi zaidi? Option kama over 0.5, over 1.5 , over 2.5 under 3.5, under 4.5 ndio zinaongoza kushinda zaidi kutokana na ligi mbalimbali.
Ligi zinazotoa zaidi Over
- Ligi kuu ujerumani
- Ligi kuu England
- Ligi kuu Cyprus
- Ligikuu Italy (under pia)
- Ligi kuu Spain
- Ligi kuu Ufaransa
Endelea kusoma makala zetu nyingine mara kwa mara